Wachezaji wanne wa Simba SC wamefanikiwa kuingia katika kikosi bora cha wiki cha Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023/2024.
ADVERTISEMENT
Wachezaji Shomary Kapombe, Jean Baleke, Clatous Chama na Sadio Kanoute wametajwa katika list hiyo ikiwa ndio mara ya kwanza Simba SC kuingiza wachezaji wanne.Aidha ukiachana na hilo Sadio Kanoute na Clatous Chama wenyewe wapo katika kipengele cha kuwania mchezaji bora wa wiki wakishindana na wachezaji wa Al Ahly Percy Tau na Mahmoud Kahraba .
ADVERTISEMENT