ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

SIPRI; UKRAINE NCHI YA TATU DUNIANI KWA UAGIZAJI SILAHA

Ukraine

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 13, 2023
in HABARI
0
SIPRI; UKRAINE NCHI YA TATU DUNIANI KWA UAGIZAJI SILAHA
0
SHARES
24
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

No Content Available
Load More
Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imesema katika ripoti ya leo, Jumatatu kwamba uagizaji wa silaha wa nchi za Ulaya uliongezeka kwa kasi katika mwaka uliopita kutokana na vita vya Ukraine, na kwamba nchi hiyo yaani Ukraine, imekuwa ya tatu kwa kununua kwa wingi zaidi silaha duniani 2022.

Kwa mujibu wa taasisi hiyo, uuzaji wa silaha wa Marekani duniani pia umeongezeka kutoka 33% hadi 40%, na ndiyo muuzaji mkubwa zaidi wa silaha duniani katika miongo mitatu iliyopita, ikifuatiwa na Russia.

Taasisi hiyo imeeleza kuwa nchi za Ulaya wanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO inayoongozwa na Marekani, zimeongeza ununuzi wa silaha kutoka nje kwa asilimia 65 ikilinganishwa na kipindi cha miaka mitano iliyopita. 

Peter de Weizmann, mtafiti mkuu katika Mpango wa Usafirishaji wa Silaha wa taasisi ya SIPRI anasema japokuwa uagizaji wa silaha umepungua duniani kote, lakini usafirishaji wa silaha kwenda Ulaya umeongezeka kwa kasi kutokana na mvutano kati ya Russia na nchi nyingine nyingi za Ulaya, baada ya mashambulizi ya Russia nchini Ukraine.” 

Ukraine kwa sasa inaagiza kiasi kikubwa cha silaha kutoka Marekani na Ulaya, ikishika nafasi ya tatu duniani.

Russia imekuwa ikizilaumu nchi za Magharibi hususan Marekani kwamba ndizo zinazochochea moto wa vita vya Ukraine kwa kuendelea kutuma misaada ya silaha huko Kiev.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: SIPRI
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In