Mvutano kati ya mawakala wa mabasi juu ya ingia toka ya mara kwa mara katika kituo cha cha Magufuli umelizika na sasa hali ni shwari baada ya kukubaliana katika kikao cha pamoja kati ya wamiliki wa mabasi na serikali
Hali hiyo imerejesha utaratibu mzuri wa kuendelea kutoa huduma ya usafiri bila kuwa na mvutano zaiidi baina ya wamiliki hao wa vyombo vya usafiri (mabasi) na ufuatiliaji wa taratibu za kiserikali.