Klabu ya Tottenham wamesema hawako tayari kumuuza mshambuliaji wao kutoka nchini Uingereza Harry Kane katika msimu wa joto.
–
ADVERTISEMENT
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, mkataba wake na Spurs unakamilika msimu mwaka 2024, huku klabu hiyo ikijipanga kumuongezea mkataba kutokana na uwezo wake katika timu hiyo.
–
ADVERTISEMENT
Taarifa kutoka Sky Sports zinadai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Kane kutokusaini mkataba mpya na Spurs.