Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma Dkt. Alphonce Chandika
amesema, wapo vijana wengi wanaompigia simu wakitaka kuuza figo na kuwataka waache kufanya hivyo.
–
ADVERTISEMENT
Dkt. Chandika amesema endapo mtu ana ndugu mwenye uhitaji wa kiungo hicho, ipo kamati maalum yenye kuthibitisha ikiwa hakuna biashara yoyote inayofanyika kwenye upatikanaji wake.
–
ADVERTISEMENT
“Sheria za nchi haziruhusu biashara za viungo [vya mwili] na kwamba uuzaji wa viungo vyovyote nchini ni haramu.” amessma Dkt. Chandika