ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WALIOSAMBAZA PICHA YA RAIS IMELOWA WAACHIWA HURU

Sudani Kusini

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 16, 2023
in HABARI
0
WALIOSAMBAZA PICHA YA RAIS IMELOWA WAACHIWA HURU
0
SHARES
12
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

No Content Available
Load More
Waandishi wa habari wawili kati ya 4 waliokamatwa kwa kosa la kuvujisha video iliyokuwa inaonesha suruali ya Rais wa Sudan Kusini ikiwa imelowa alipokuwa katika sherehe wameachiwa huru.

Umoja wa waandishi wa habari nchini humo umesema umefurahia sana kuachiwa kwa Victor Ladu na Mustafa Osman.

Video hiyo ilivuja Desemba mwaka jana katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha Rais huyo akiwa amelowa wakati wimbo wa taifa ulipokuwa unaimbwa.

Kufuatia tukio hilo, wafanyakazi 6 wa televisheni ya taifa walikamatwa na wawili bado wapo kizuizini.

” Tunaiomba serikali kuwaachia waandishi wengine waliobaki katika mikono ya dola,” kilisema chama hicho cha waandishi wa habari.

Watu mbalimbali yakiwemo mashirika ya kimataifa ya kusimamia haki kwa waandishi wa habari walikemea tukio hilo.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: SUDAN KUSINI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In