ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Xi Jinping Achaguliwa kwa Muhula wa Tatu Kuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China

China, Barani Asia

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 10, 2023
in HABARI
0
Xi Jinping Achaguliwa kwa Muhula wa Tatu Kuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China
0
SHARES
25
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Xi Jinping handed unprecedented third term as China's president | Xi Jinping  | The GuardianAkiwa madarakani tangu 2013 na kuchaguliwa kama rais kwa mara ya kwanza mwaka 2018, Xi Jinping alichaguliwa tena kwa kauli moja, bila ya kushangaza, kuwa rais wa China Ijumaa Machi 10, katika kura ya wabunge.

Ataongoza China kwa muhula wa tatu wa miaka mitano, jambo ambalo halijawahi kutokea nchini humo.

RelatedPosts

MKE WA RAIS ZANZIBAR AMSHUKURU BALOZI WA CHINA KWA HILI

MKE WA RAIS ZANZIBAR AMSHUKURU BALOZI WA CHINA KWA HILI

Mar 29, 2023
Load More

Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 69 tayari alikuwa amepata nyongeza ya miaka mitano Oktoba 2022 kuwa mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha CCP na mwenyekiti wa tume ya kijeshi, nyadhifa mbili muhimu zaidi za madaraka nchini humo.

Kuchaguliwa kwake tena ni kilele cha ongezeko ambalo limemfanya kuwa kiongozi mwenye nguvu zaidi nchini tangu vizazi kadhaa.

ADVERTISEMENT

Xi Jinping yuko madarakani kwa miaka kumi, na hapa anatarajia tena kuongoza China kwa miaka mingine mitano. Hakukuwa na mashaka yoyote juu yake.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: China
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In