Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said akiambatana pamoja na wadau na mashabiki wa klabu hio hii leo wamefanya zoezi zima la uchangiaji damu salama kwa ajili ya kutumika katika matibabu yanayofanyika Hospitali ya Mloganzila.
Wakihimiza zaidi ya kuwa zoezi bado linaendelea Jangwani na Hospitali ya Mloganzila, huku ikiwaomba wananchi wote kujitokeza kwa wingi ili kufanya zoezi hilo kuleta matokeo chanya zaidi katika ongezeko la damu ya akiba.
ADVERTISEMENT