Klabu ya Al-Hilal ya Saudi Arabia imetoa ofa rasmi kwa Messi yenye thamani ya zaidi ya euro 400m (£350m) kwa mwaka. (Fabrizio Romano)
Klabu hio imeweka dau hilo wakiona Mshambulizi huyo wa Argentina Lionel Messi, 35, huenda asifikie makubaliano na Paris St-Germain kuongeza muda wake wa kusalia katika klabu hiyo. (ESPN)