“Goli la kwanza tulilofungwa halikuwa halali kwasababu ile haikutakiwa kuwa kona. Walioangalia kwenye TV watakuwa wameona. Unapofungwa bao la haraka kama vile ndani ya dakika 5 za kwanza inakutoa mchezoni hasa linapokuwa bao lisilostahili ” – Nabi, kocha wa Yanga SC baada ya mchezo kumalizika.