Klabu ya Yanga imepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Baba mzazi wa mchezaji wao Mamadou Doumbia, kilichotokea jana, nchini Mali.
Mchezaji huyo anatarajiwa kuanza sfari asubuhi ya leo kuelekea Mali kwaajiri ya kushiriki taratibu za mazishi.
Kwa niaba ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa timu hio, Uongozi wa klabu ya Yanga unatoa pole kwa mchezaji huyo pa,maoja na familia yake yote kwa msiba huo na waitakia kheri kwa kuoma mwenyezi Munguawatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu wanachopitia.
#koncepttvupdates
ADVERTISEMENT