Chelsea hawana nia ya kumuuza mlinzi wa England aliye chini ya umri wa miaka 21 Levi Colwill, 20, msimu huu wa joto licha ya Liverpool , Tottenham na Manchester City kumtaka (Football Insider)
Aidha mshambulizi wa zamani wa Liverpool na Uingereza Robbie Fowler anafikiria kutuma ombi la kuajiriwa kama meneja katika klabu ya Ligi ya Pili ya Tranmere Rovers (Sun)
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT