Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amefanikisha kukabidhi jumla ya Baiskeli 200 kwa wanafunzi wa kike katika shule za sekondari zilizopo Halmashauri ya Korogwe Vijijini.
Zoezi hilo limefanyika baada ya kiongozi huyo kutoa tamko jana kupitia kurasa zake za Mitandao ya kijamii kwa kuujuza umma kuhusiana na taarifa hio ya makabidhiano.
“Tunatesti mitambo…., Baiskeli 200 kwa watoto wetu wa kike done” DC Jokate
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT