Meneja habari Simba SC, Ahmed Ally amefunguka sababu kuu inayopelekea klabu hio kutofurahiushwa kabisa kuwa katika level ya kushiriki Kombe la Shirikisho kulingana na nafasi kubwa iliyonayo na hadhi iliyojitengenezea kama timu katika Michuano Mikubwa hapa Barani Afrika.
“Kwanini hatuvutiwi sana na Kombe la Shirikisho, Kwa sababu inashirikisha timu ndogondogo na timu mpya ndo maana kila siku unasikia majina mapya kina KMC, Biashara Geita, Namungo na wengine wadogo wadogo katika chi zao Ukiona Mzee anafurahia Kombe la Shirikisho jua amekwama,”
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT