Mshambulizi wa Klabu ya Simba Jean Baleke ametajwa kuwa mchezaji Bora wa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara wa Mwezi Machi.
Mchezaji huyo ameshinda tuzo hio kutokana na kiwango kizuri alichokuwa nacho Tangu alipoaminika kuanza First Eleven ya kikosi cha Klabu hio.
ADVERTISEMENT
Amecheza jumla ya Mechi tano akiwa pia ametupia nyavuni goli nyingi zaidi na kuifanya Timu yake iwe kwenye nafasi nzuri ya kuendelea kuisaka nafasi kutwaa ubingwa msimu huu.
ADVERTISEMENT