ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

KITENGE NA HANDO WATUA WASAFI FM

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 19, 2023
in HABARI
0
KITENGE NA HANDO WATUA WASAFI FM
0
SHARES
322
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

MCHAMBUZI ASIFIA UTULIVU WA ALLY SALIM MCHEZONI

MCHAMBUZI ASIFIA UTULIVU WA ALLY SALIM MCHEZONI

Apr 24, 2023

MASANJA ACHUKUA NAFASI YA MAULID KITENGE EFM

Apr 24, 2023
Load More

 

Watangazaji wawili wa EFM, Maulid Kitenge ‘chumvi’ na Gerald Hando leo Jumatano, April 19, 2023 wametambulishwa rasmi katika kipindi cha Good Morning kinachorushwa na kituo cha Radio cha Wasafi FM.

 

 

–

 

 

 

Kitenge anarejea kwa mara nyingine Wasafi FM baada ya kujiunga na kituo hiko mwezi Oktoba mwaka 2019 kwa mara kwanza na mwezi Agosti mwaka 2021 alirejea EFM na leo April 19 amerejea tena Wasafi FM.

 

 

 

–

 

 

 

Kitenge na Hando ni miongoni mwa watangazaji wa EFM wa muda mrefu sana (kuanzia mwaka 2015) Kitenge akiwa kama Mkuu wa Idara ya Vipindi vya Michezo, huku akitangaza vipindi vya michezo vya Sports Headquarters na E-Sport, pamoja na kusoma magazeti na Hando kwenye Kipindi cha Joto la Asubuhi ndani ya EFM.

 

 

 

–

 

 

Wawili hao wanaungana na Zimbwela, Salma Dacotha katika kipindi cha Good Morning kinachosikika kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia Saa 11 mpaka Saa 2:30 asubuh kupitisha Masafa ya 88.9 Wasafi FM.

 

 

 

 

–

 

 

 

Imeandikwa na Shabani Rapwi

Related

Tags: EFMKitengewasafi fmwasafi mediawasafi tv
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

April 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In