Kuelekea mchezo wa Kimataifa Kombe la Shirikisho la Afrika Yanga SC dhidi ya TP Mazembe Kocha Msaidizi wa klabu ya Yanga Cedric Kaze amesema
–
“”Kocha mkuu Nasreddine Nabi ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Mazembe kwa sababu za Kifamilia. Mchezo huu ni muhimu sana kwetu kwa sababu malengo yetu ni kuwa vinara kwenye hatua hii ya Makundi”
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
“Kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mazembe Tutamkosa Aucho na Diarra wakiwa wanatumikia adhabu ya Kadi tatu za njano na pia tutamkosa Azizi KI kutokana na changamoto za usafiri akitokea kwenye timu yake ya Taifa”