Kesi iliyowasilishwa chini ya hati ya dharura ya kutaka mchakato wowote wa kuuzwa au kumilikishwa kwa kampuni ya saruji ya Tanga usitishwe mpaka shauri la msingi litakaposikilizwa, na kwa kuzingatia ukweli kwamba Mahakama ya Ushindani wa Kibiashara na Haki ilikuwa imeshaamuru muunganiko uliokuwa umetangazwa usiendelee katika uamuzi uliotolewa Septemba 23,2022 uamuzi uliokuwa katika ukurasa wa 40 wa shauri hilo ulioeleza kuwa mahakama inakataza kuunganishwa kati ya Scancem International DA na Tanga Cement
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT