MSHAMBULIAJI wa zamani wa Nyota Nyekundu na Yanga SC, zote za Dar es Salaam, Dennis Mdoe amefariki dunia leo Jijini Arusha.
Kwa mujibu wa mwanawe, Ibrahim Mdoe aliyewahi pia kuchezea timu ya taifa, Taifa Stars amefariki dunia na ghafla leo na inafikiriwa ni shinikizo la damu.
ADVERTISEMENT
Mungu ampumzishe kwa amani marehemu Dennis Mdoe. Amín.
ADVERTISEMENT