Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kiasi cha Fedha kilichopatikana kupitia mchezo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliowakutanisha Simba SC na Yanga (Kariakoo Derby) uliochezwa mnamo Aprili 16 Mwaka huu katika Dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.
TFF yaeleza kuwa Kiasi cha Tsh. 410,645,000 kilipatikana kupitia Derby hio ya Wapinzania hao wa karibu kutokea Mitaa ya Kariakoo.
Aidha imeongezea kutaja jumla ya idadi ya Mashabiki kuwa walikuwa 53,569 katika siku hio ya Mechi
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT