Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameagiza mishahara ya wafanyakazi wa serikali ya mwezi Aprili, kutoka mapema kuanzia Aprili 14 ili kuwapa fursa ya maandalizi ya sikukuu ya Eid El Fitr.
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Sikuu ya Eid inatarajiwa kuwa kati ya terehe 21 au 22, Aprili kulingana na muandamo wa mwezi na kuashiria mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.