A.S Roma wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Brazil Roberto Firmino, 31, mkataba wake na Liverpool utakapokamilika msimu huu. (Nicolo Schira)
Roma pia wanafikiria kumsajili beki wa pembeni wa Leicester City na England James Justin, 25, kwa mkopo na chaguo la kufanya uhamisho huo kuwa wa kudumu kwa ada ya euro 20m (£17.7m). (Calciomercato – in Italian)
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT