Waziri Mkuu wa Tanzania @kassim_m_majaliwa amesema serikali imenunua ndege tano mpya ambapo ndege nne kati ya hizo zitawasili nchini mwaka huu wa 2023
Hayo yameelezwa leo na Waziri mkuu Majaliwa akitoa taarifa ihusuyo bajeti mpya ya nchi kwa mwaka wa fedha 2023/2024 akiwa bungeni huko jijini Dodoma.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT