ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, June 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

SERIKALI YATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU USHOGA NA USAGAJI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 10, 2023
in HABARI
0
SERIKALI YATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU USHOGA NA USAGAJI
0
SHARES
92
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

Jun 5, 2023

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993

Jun 5, 2023

MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA

Jun 5, 2023
Load More

 

Serikali ya Tanzania imesema ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja hazina nafasi Tanzania na kusisitiza kuwa huo ndio msimamo wa Serikali, msimamo wa Rais wa Tanzania Dkt. Samia na Wasaidizi wake.

 

 

 

–

 

 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametoa msimamo huo usiku wa kuamkia leo wakati akifungua Tamasha la Pasaka lililofanyika Dar es salaam.

 

 

 

–

 

 

“Rais Samia na Serikali ya awamu ya sita tumewasikieni Viongozi wa Dini mkisema waziwazi mnataka Taifa letu lisimamie nini kwenye maadili na utamaduni wetu, tumewaeleweni na ndio msimamo wa Serikali ya Rais Samia, Nchi yetu haitopelekwa kwenye utamaduni wa kigeni”

ADVERTISEMENT

 

 

 

–

“Vitabu vyote vya Dini ikiwemo Katiba yetu ipo wazi juu ya haya ambayo Viongozi wa Dini mmeyakemea, kwa niaba ya Serikali nataka niwahakikishieni Watanzania, ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja hayana nafasi Tanzania”

 

ADVERTISEMENT

 

 

 

–

 

“Wala hakuna sababu ya kumung’unya maneno, msimamo wetu upo wazi Mungu amelibariki Taifa hili hatuwezi kufungua mlango wa laana, salamu za Rais yupo na Viongozi wa Dini wa Nchi hii, mmeonesha ujasiri waziwazi kuyakemea haya, Rais anawaungeni mkono na sisi Wasaidizi wake tunawaungeni mkono ili Taifa letu liendelee kuwa na Baraka” amesema Waziri Nape.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA
HABARI

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA
HABARI

MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
KUNANI MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 22 JUNI
HABARI

KURASA ZA MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 05 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 5, 2023
UJUE MPANGO MPYA WA VITUO VYA KUCHAJI MAGARI YA UMEME NCHINI
HABARI

UJUE MPANGO MPYA WA VITUO VYA KUCHAJI MAGARI YA UMEME NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023
Rais Samia Apunguza Tozo Ya Mafuta
HABARI

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu

by I am Krantz
Jun 4, 2023
166 New Job Vacancies at TANAPA
HABARI

166 New Job Vacancies at TANAPA

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In