“Yanga hawakustahili kabisa kucheza haya Mashindano, ilikuwa ni bahati mbaya tu.Ukweli ni kwamba kiwango cha Yanga ni kikubwa mnoo na wanastahili kucheza Mashindano makubwa kuliko hata ya Club bingwa Afrika. Siioni timu ya kuizuia Yanga kuwa mabingwa wa Shirikisho” Ameandika Ayubu Madenge katika ukurasa wake wa Twitter mara baada ya Yanga kuifunga Tp Mazembe bao 1-0 katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT