ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Thursday, October 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

UZURI WA AFISA WAGEUKA KERO, WANAUME WAPIGA SIMU MAKAO MKUU YA ZIMAMOTO KUTAKA NAMBA YAKE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 3, 2023
in HABARI
0
UZURI WA AFISA WAGEUKA KERO, WANAUME WAPIGA SIMU MAKAO MKUU YA ZIMAMOTO KUTAKA NAMBA YAKE
0
SHARES
241
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Nchini Nigeria kuna stori ambayo inatrend sana, na hii inahusiana na huyo mrembo pichani ambaye ni mfanyakazi wa Zimamoto ambaye anaitwa Dooshima Dennis.

RelatedPosts

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

Oct 4, 2023

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA

Oct 4, 2023

WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU

Oct 4, 2023
Load More

–

Dooshima ni mwanamke mrembo ambaye anafanya kazi kama Afisa wa Jeshi la Zimamoto, kutokana na jinsi alivyo ametokea kuwa maarufu sana na yeye mwenyewe kwenye account yake ya Twitter anajielezea kuwa ni Nigerian first celebrity fight fighter,kwamba ni Afisa wa Zimamoto wa kwanza mwanamke mrembo na maarufu, na umaarufu wake umetokana na jinsi alivyo mrembo.

Kilichotokea ni kwamba watu wengi sana huko Nigeria wamekuwa wakijaribu bahati zao wakimsumbua sana kiasi ambacho imekuwa kero mpaka kwenye hofisi za Jeshi la Zimamoto kwa sababu wanachokifanya ni kwamba wanapiga simu katika Jeshi la Zimamoto wakimuulizia Dooshima

–

Kuwa wanataka kuongea nae na wengine wanataka namba yake, umekuwa ni usumbufu ambao umemfanya awaonye watu hao hasa wanaume waache kumsumbua.

Dooshima amewambia wanaume wa Nigeria kwamba wanamuweka katika matatizo, amewaomba wawe siriasi waache kupiga simu kwenye chumba cha Zimamoto kuomba namba yake ya simu.

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI
HABARI

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA
HABARI

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU
HABARI

WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
‘KUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO’
HABARI

‘KUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO’

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
TET YAWASILISHA RASIMU ZA MITAALA MIPYA KWA MAAFISA ELIMU NCHINI
HABARI

TET YAWASILISHA RASIMU ZA MITAALA MIPYA KWA MAAFISA ELIMU NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI
BIASHARA

BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

April 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In