ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WATU 200 WAUAWA NCHINI SUDAN

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 18, 2023
in HABARI
0
WATU 200 WAUAWA NCHINI SUDAN
0
SHARES
148
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

SUGU AHISI UPENDELEO WANAFUNZI WA SUDAN KUPELEKWA DAR

SUGU AHISI UPENDELEO WANAFUNZI WA SUDAN KUPELEKWA DAR

Jun 20, 2023

WANAFUNZI 150 KADA YA UDAKTARI KUTOKEA SUDAN WAHAMISHIWA MUHIMBILI

Jun 20, 2023

KISA CHA KUSISIMUA KUHUSU “TAI WA PILI”

Jun 11, 2023
Load More

Mashirika ya Kimataifa yanayotoa huduma za afya nchini Sudan yamesema, hospitali ziko hatarini kulemewa na wagonjwa kufuatia kuwepo kwa idadi kubwa ya majeruhi wanaotokana na mapigano yanayoendelea nchini humo.

 

 

 

 

–

 

 

 

Madaktari pamoja na wauguzi kutoka mashirika hayo likiwemo llile ya Kimataifa la Msalaba Mwekundu wamesema, wamekuwa wakipokea majeruhi wengi kwa siku, huku mazingira ya kuwapatia huduma yakiwa si rafiki hasa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.

 

 

 

 

–

 

 

Takribani watu 200 wameuawa na wengine zaidi ya 1,800 wamejeruhiwa nchini Sudan, katika mapigano baina ya Jeshi la nchi hiyo na Wanamgambo wa RSF.

 

 

 

 

–

 

 

Wakazi wa mji mkuu wa Khartoum na miji mingine kwa sasa hawana huduma ya umeme pamoja na maji.

 

 

 

–

 

 

 

Raia wa Sudan wamesema wanahofia usalama wao kwa kuwa Wanajeshi na Wanamgambo wanaopigana pia wanavamia makazi yao.

 

 

 

–

 

 

 

Wakati mapigano hayo yakiendelea kati ya Jeshi la Sudan na Wanamgambo wa RSF, Iraq imesema iko tayari kusimamia mazungumzo yenye lengo la kumaliza mgogoro uliopo baina ya pande hizo mbili.

Related

Tags: HABARIKIMATAIFASUDAN
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
HABARI

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA
HABARI

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST
HABARI

SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
HABARI

TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

April 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In