“Mapendekezo ya CAG yalikuwa 6,947 yaliyofanyiwa kazi ni 2,506 peke yake sawa na asilimia 36 peke yake. Mapendekezo ya PAC kati ya 272 yamefanyiwa kazi 35 peke yake, watuhumiwa wa ufisadi wa ripoti ya mwaka 2020/2021 bado wapo Serikalini, bado wapo barabarani fedha za umma hazijarudi.
–
Kama ripoti ya mwaka jana haijafanyiwa kazi nini kitufanye tuamini kwamba ripoti ya mwaka huu itafanyiwa kazi?”. John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA