ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

TEN HAG ATARAJIA RASHFORD KUONGEZA MKATABA MAN ‘U’

Uingereza

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 28, 2023
in MICHEZO
0
TEN HAG ATARAJIA RASHFORD KUONGEZA MKATABA MAN ‘U’
0
SHARES
71
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ImageMeneja wa Manchester United Erik ten Hag anatarajia mshambuliaji wa Uingereza Marcus Rashford kuongeza mkataba wake na klabu hiyo ya Old Trafford, huku mkataba wa sasa wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ukikamilika mwishoni mwa msimu wa 2023-24. (Viaplay, viaManchester Evening News)

Nyota huyo kwa aina ya uchezaji wake unampa nafasi kubwa ya kuonekana bado ana umuhimu mkubwa wa kusalia katika klabu hio ingawa katika suala la upatikanaji wa matokeo mazuri kwa mechi mfululizo umekuwa ni bado wa kusuasua sio kama ilivyokuwa hapo awali ikiaminika kwa asilimia za juu na wadau pamoja na mashabiki zake.

RelatedPosts

SABABU, JUDE BELLINGHAM KUVAA SOKSI ZILIZOTOBOKA

SABABU, JUDE BELLINGHAM KUVAA SOKSI ZILIZOTOBOKA

Jul 30, 2023

DAVID SILVA ASTAAFU RASMI SOKA

Jul 27, 2023

VAN DER SAR ATOLEWA ICU

Jul 20, 2023
Load More

Rashford amefanikisha kuipatia klabu yake jumla ya magoli 30 katika msimu huu wa Ligi kuu EPL na ndio maana siku chache kupitia ukurasa wa mtanadao wa kijamii wa Twitter hakusita kuishukuru klabu yake na wachezaji kwa kufanikisha iwe hivyo.

😍 https://t.co/XGXf9PmnCM

— Marcus Rashford (@MarcusRashford) May 25, 2023

Related

Tags: EPLLIGI KUU YA UINGEREZAMAN UMAN U VS CHELSEAMAN UNITEDRASHFORDUEFA Champions League
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023
RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT
HABARI

RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU
HABARI

MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027
HABARI

TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO
HABARI

SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA
HABARI

USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In