Kocha wa Klabu ya Arsenal Mikel Arteta yuko tayari kumruhusu kiungo wa kati wa Uingereza Emile Smith Rowe, 22, kuondoka Emirates ili kutoa nafasi kwa kiungo wa Leicester na England James Maddison, 26. (Mirror)
The Gunners pia wana nia ya kumuongeza mshambuliaji wa Torino na Paraguay Antonio Sanabria, 26, kwa mkataba wa thamani ya £21.6m. (La Repubblica via Mail)
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT