Mwanadiplomasia na Mtaalamu wa Masuala ya Mahusiano ya Kimataifa na Usalama, Mbunge kwa Miaka 15 na Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe amefariki Dunia akiwa anatibiwa katika hospitali ya Kairuki Dar es salaam.
Taarifa za awali zinasema Membe alipata changamoto ya kifua na alfajiri ya leo na baadae kupelekwa hospitalini hapo kwa matibabu.
#KoncepttvUpdates