ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

Iringa

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 31, 2023
in HABARI
0
CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM
0
SHARES
129
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

KINANA- RAIS DKT. SAMIA NI MSIKIVU, NCHI IMETULIA

KINANA- RAIS DKT. SAMIA NI MSIKIVU, NCHI IMETULIA

Jul 23, 2023

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU, KUFUATIA MABADILIKO KWENYE WIZARA

Jul 6, 2023

RAIS SAMIA AFANYA PANGA PANGUA HII KWA MA-DC

Jul 3, 2023
Load More

CCM yazindua kadi mpya za kielektroniki | MwananchiChama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kadi zake mpya za kielekroniki za zitaweza kutumika kama kadi ya kufanyia miamala ya kifedha (ATM).

Katibu wa Taasisi ya CCM, Issa Haji Gavi amethibitisha hilo kwa kusema kuwa kadi za uanachama za chama hicho zitaweza kutumika kwa huduma nyingine ikiwamo kufanya miamala ya kifedha.

Amesema mbali na miamala ya fedha, kwa wanaotumia huduma za Bima ya Afya wataweza kuitumia kadi hiyo pamoja na wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Aidha akizungumza katika kikao cha balozi shina namba 7, Kijiji cha Ilambilole, Jimbo la Isimani, Gavi ameeleza kuwa huduma hizo ndizo zimepelekea kuchelewa kwa kadi hizo.

“Mabadiliko ya kimfumo ndiyo yamesababisha zichelewe, tulikuwa tunafanya mabadiliko ya kimfumo ili tupate kadi zenye sifa. Kuanzia mwezi wa nane kila mtu atakuwa na kadi,” amesema Gavu.

Amewataka wanachama wa chama hicho kuendelea kuunga mkono chama hicho kwa kuhakikisha inashinda tena chaguzi zote zijazo.

Awali baadhi ya wanachama walilalamika kukosa kazi za kielektroniki licha ya kujisajili.

“Kati ya wanachama wote wa shina letu 42,  ni nane tu ndio wanazo kadi,” amesema Helena Kiliwa, ambaye ni mkazi wa Kihorogota.

Awali, Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema alisema wanaendelea kusimamia na kuhakikisha yale yaliyoahidiwa yanatekelezwa.

CCM Blog

Related

Tags: CCM-TanzaniaRais Samia
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In