ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

DKT. JAFO: MALENGO YA KUPANDA MITI MILIONI 1.5 HALMASHAURI YAVUKA

Pwani

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 23, 2023
in HABARI
0
DKT. JAFO: MALENGO YA KUPANDA MITI MILIONI 1.5 HALMASHAURI YAVUKA
0
SHARES
107
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

WAZIRI MKUU ATOA SIKU 7 BARABARA  MUHIMBILI

WAZIRI MKUU ATOA SIKU 7 BARABARA MUHIMBILI

Jul 24, 2023

WAZIRI MKUU AIPONGEZA BENKI YA NBC KWA KUSAIDIA AFYA YA UZAZI

Jul 23, 2023

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU, KUFUATIA MABADILIKO KWENYE WIZARA

Jul 6, 2023
Load More
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1, loris wenda pole na jukwaaWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais amesema Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani imetekeleza kwa vitendo maelekezo ya Serikali ya kupanda miti milioni 1.5 kwa kila halmashauri kwa mwaka.
Amesema hayo wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 wilayani humo wenye kaulimbiu ‘Tunza Mazingira, Okoa vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe hai na Uchumi wa Taifa’
Amesema katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhakikisha mazingira yanahifadhiwa na kutunzwa halmashauri ya wilaya hiyo imevuka lengo la kupanda idadi hiyo ya miti.
“Hatuigizi bali tunafanya kwa vitendo sisi tumezidisha malengo ya upandaji miti kwa mwaka na tunamshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maelekezo yake kuhusu utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji,” amesisitiza Dkt. Jafo ambaye pia ni Mbunge wa Kisarawe.
Akiendelea kuzungumza wakati wa ukaguzi wa miradi ya Mwenge wilayani humo amesema ‘Kampeni ya Soma na Mti’ imeendelea kushika kasi na linatekelezeka kwani kila mwanafunzi kutoka shule mbalimbali anapanda mti.
Aidha, Waziri Jafo ameelezea kuhusu namna Msitu wa hifadhi wa Pugu Kazimzumbwi uliopo wilayani humo na kusema umeleta faida kubwa zikiwemo utalii wa ndani na hivyo kuingiza mapato.
Kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi zinazotokea nchini na duniani kwa maeneo mbalimbali Serikali na washirika wa maendeleo imekuwa ikipeleka miradi kwa ajili ya kukabiliana changamoto hiyo hivyo Mwenge wa Uhuru pia umetembelea Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi wilayani humo.

Related

Tags: JAFOOFISI YA WAZIRI MKUURais Samia
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In