ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 9, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

KIONGOZI MWENGE WA UHURU AONYA UHARIBIFU VYANZO VYA MAJI

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 26, 2023
in HABARI
0
KIONGOZI MWENGE WA UHURU AONYA UHARIBIFU VYANZO VYA MAJI
0
SHARES
35
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

Jun 8, 2023

DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE

Jun 8, 2023

DILI LIMETIKI “FEI TOTO” KUTIMKIA AZAM

Jun 8, 2023
Load More
Inaweza kuwa picha ya Watu 7, nyasi, mti na maandishi
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Bw. Abdalla Shaibu Kaim amewataka wananchi kuacha kufanya shughuli za kibinadamu zikiwemo kilimo na ufugaji karibu na vyanzo vya maji.
Ametoa kauli hiyo jana Mei 25, 2023 wakati mbio za Mwenge wa Uhuru, zikikagua mradi wa utunzaji mazingira unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Manispaa ya Kigamboni mkoani, Dar es Salaam.
Shaib amesisitiza kuwa hairuhusiwi kwa mtu yeyote kufanya shughuli hizo ndani ya mita 60 kutoka kwenye vyanzo vya maji kwani ni kinyume cha sheria na ni uharibifu wa Mazingira.
Alisema ni muhimu kulinda na kuviendeleza vyanzo vya maji pamoja na uoto wa asili ikizingatiwa kuwa maji ni uhai hatua inayoenda sambamba na kuunga mkono juhudi za Serikali za upandaji miti kwenye vyanzo vyetu vya maji na kuitunza.
Aidha, Kiongozi huyo alitumia nafasi hiyo kuipongeza DAWASA kwa jitihada kubwa wanazofanya za kulinda na kuendeleza mazingira kwa kutunza vyanzo vya maji.
Kwa upande wake Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Kiula Kingu alisema katika jitihada za kutunza na kuendelea vyanzo vya maji katika mradi wa maji Kigamboni, Mamlaka imefanikisha kupanda miti ya matunda na kivuli takribani miti 3,300.
Mbio za Mwenge wa Uhuru zinaendelea katika mikoa mbalimbali na kwa mwaka 2023 unachagizwa na kaulimbiu isemayo “Tunza Mazingira, Okoa vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe hai na Uchumi wa Taifa”.
Inaweza kuwa picha ya Watu 3, mti na maandishi
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: Dar es Salaammbio za mwengeOFISI YA MAKAMU WA RAISRais Samia
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023
TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA
HABARI

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE
HABARI

DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI
HABARI

EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO
HABARI

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU MPYA LEO

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA
HABARI

MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In