ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MANDONGA, WANYONYI NI MWENDO WA KISASI KUZICHAPA TENA JULAI 22

Kenya

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 21, 2023
in MICHEZO
0
MANDONGA, WANYONYI NI MWENDO WA KISASI KUZICHAPA TENA JULAI 22
0
SHARES
119
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Did bookies hand Mandonga easy victory in bout with Wanyonyi? - The  Standard HealthBaada ya pambano la kufana la kwanza miezi michache iliyopita, sasa wanasema usubiri kwa hamu pambano la marudiano la uzito wa juu litalowakutanisha tena “Mandonga na Wanyonyi 2” ambalo litatikisa Kituo cha maonyesho cha Sarit Julai 22, mwaka huu kwa mujibu gazeti la Daily Nation.

Mwanamasubwi wa Tanzania, Karim maarufu kama Mandonga “Mtu Kazi”, ambaye ni bingwa wa Pugilistic Syndicate of Tanzania (PST), na Daniel Wanyonyi, bingwa wa zamani wa taji la African Boxing Union (ABU) Kenya, Ijumaa walitupiana maneno ya kukosoana kama ilivyo kawaida kwa wapinzani kabla ya mechi yao ya marudiano iliyokuwa ikitarajiwa kufanyika jijini Nairobi.

RelatedPosts

KENYA YASITISHA MTANDAO WA KIFEDHA WA KU-SCAN KUEPUSHA UDUKUZI WA DATA

KENYA YASITISHA MTANDAO WA KIFEDHA WA KU-SCAN KUEPUSHA UDUKUZI WA DATA

Aug 2, 2023

WANAWAKE WANAWALIPA WANAUME WAWAPE MIMBA, KIASI CHA MIL 5.1

Jul 30, 2023

“MANDONGA HAKUWEZA LALA VIZURI BAADA YA KUMPA KICHAPO” -WANYONYI

Jul 25, 2023
Load More

Afisa mkuu mtendaji wa kusimamia mashindano ya Ultra Fight Series Maurice Odera alifichua Ijumaa kuwa Mandonga na Wanyonyi wametia saini mkataba wa kukutana tena kwenye mchuano wa “Marudio au Kulipiza kisasi”

Mandonga alimshinda Wanyonyi walipokutana kwa mara ya kwanza Januari 14, mwaka huu nchini Kenya.

Related

Tags: ABUABU CHAMPIONSHIPKenyaMANDONGAMANDONGA VS WANYONYINAIROBI
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023
RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT
HABARI

RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU
HABARI

MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027
HABARI

TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO
HABARI

SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA
HABARI

USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In