ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MANULA AENDA AFRIKA KUSINI KUTIBIWA NYAMA ZA PAJA

Dar es Salaam

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 29, 2023
in MICHEZO
0
MANULA AENDA AFRIKA KUSINI KUTIBIWA NYAMA ZA PAJA
0
SHARES
135
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Simba SC yawatoa hofu mashabiki wake kuhusu majeraha ya Aishi Manula - YouTubeGolikipa nambari moja Simba SC na Taifa la Tanzania Aishi Manula aripotiwa kuwa yupo nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuaptiwa matibabu ya Nyama za Paja kwa siku za hivi karibuni.

Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC amefunguka kuhusu taarifa hio kuhusu Nyota huyo kuwa yupo chini humo kwajili ya kupatiwa matibabu ameandika “Kipa wa Taifa Aish Salum Manula yupo Nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ya nyama za paja Mungu amjaaalie nyanda wetu matibabu yake yaende vizurii”

RelatedPosts

AMSHA AMSHA ZA SIMBA KUELEKEA KILELE CHA SIMBA DAY

AMSHA AMSHA ZA SIMBA KUELEKEA KILELE CHA SIMBA DAY

Aug 1, 2023

SIMBA SC YAICHAPA 2-0 TURAN PFK YA UTURUKI

Jul 27, 2023

SIMBA YAMUUZA SAKHO UFARASA

Jul 24, 2023
Load More

Manula amekosekana uwanjani tangu mechi ya kwanza ya kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya Michuano Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Wydad Casablanca dhidi ya timu yake, hadi sasa ni muda mrefu umepita.

Hapo nafasi ya kulinda lango la timu ya Simba alichuliwa na Golikipa nambari 3 wa klbu hio Ally Salim ambaye alikuwa sio mzoefu kabisa katika kudakia Michuano ya namna hio CAF lakini alionesha uwezo kulingana na timu yake ilivyoweza kumuamini.

Licha ya matumaini ya Wadau na mashabiki wengi wa klabu hio kuzania kuwa hali ya mchezaji huyo itaimalika haraka na kurejea mchezoni bado hali inaonyesha kuwa Manula hayuko sawa na ndio maana ameenda chini huko kupatiwa matibabu na uangalizi wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa.

 

Related

Tags: AFRIKA KUSINIAISHI MANULAMANULAMATIBABUNYAMA ZA PAJASIMBA SCSOUTH AFRICA
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023
RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT
HABARI

RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU
HABARI

MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027
HABARI

TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO
HABARI

SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA
HABARI

USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In