ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

Mwanza

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 30, 2023
in HABARI
0
MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA
0
SHARES
227
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Miili ya mapacha Kenny na Lenny Makomonde wenye umri wa miaka 24 waliofariki ndani ya ziwa Victoria walipokuwa wanaogelea wameagwa jijini Mwanza na kuelekea Musoma mkoani Mara kwa ajili ya mazishi.

Inadaiwa mnamo tarehe 28 mwezi huu mapacha hao walienda kuogelea kwenye fukwe za mwalo wa Mihama wilayani Ilemela jijini Mwanza ndipo wakakwama kwenye mapango ya miamba yaliyopo ndani ya ziwa Victoria na kupelekea kupoteza Maisha

RelatedPosts

TCD YATOA MAFUNZO KWA VIJANA KUHUSU VYAMA VYA SIASA

TUHUMA ZA MWALIMU KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI

Aug 2, 2023

WEZI WA MTANDAONI WAKAMATWA TANGA

Jul 21, 2023

NBC Benki yawapa Fursa Wakazi wa Mwanza Kulishuhudia Kombe la Ligi kuu ya NBC

Jul 17, 2023
Load More

“Ndani ya Maji kulikuwa na mapango ya miamba hivyo waliogolea hadi wakachoka na kushindwa kutoka na wote wakaishiwa nguvu na wote wakazama ndani ya mapango hayo na kupuiteza Maisha na sisi tulipofika tuliwatafuta na kuwakuta wamekwama kwenye mapango hayo ndipo

tukawatoa” Amesema msaidizi wa kitengo cha uzamiaji jeshi la zimamoto na uokoaji Mwanza Samweli Nyandito
Kaimu kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Mwanza kamila Labani amewataka wakazi wa maeneo hayo kuacha kuogelea katika eneo hilo kutokana kuwa na hatari kufuatia uwepo wa mapango ya miamba ndani ya mwalo huo ambayo ni hatarishi.

“Natoa rai kwa wananchi wote wa mkoa wa Mwanza wanaopenda kutumia fukwe kuogelea na siyo fukwe tu hata mabwawa maalum ambayo yanatumika kuogelea wasiende kuogelea bila kufuata kanuni za usalama amabzo ni pamoja na kuvaa makoti maalum yanayomsaidia mtu kuweza kuelea yanitwa lifejacket lakini kamwe wasiogelee kama hakuna mtaalamu wa kuwasaidia kama likitokea tatizo lolote’

Related

Tags: Jeshi la PolisiJESHI LA ZIMAMOTOMAPACHA KUZIKWA MARAMARAMWANZA
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In