ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MASSAY; MPANGO UMETIKI, HAKUNA KUPIGA SARAKASI TENA BUNGENI

Manyara

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 20, 2023
in HABARI
0
MASSAY; MPANGO UMETIKI, HAKUNA KUPIGA SARAKASI TENA BUNGENI

Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay akiwa amebinuka sarakasi ndani ya ukumbi wa Bunge alipokuwa akichangia mjadala wa kupitia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma.

0
SHARES
25
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

FAHAMU UMUHIMU WA KULA KWA WAKATI

FAHAMU UMUHIMU WA KULA KWA WAKATI

May 26, 2023

RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

May 26, 2023

MSUKUMA ATAKA MUONGOZO SAKATA LA SERIKALI KUFUNGIA BAA

May 15, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Mbunge wa Jimbo la Mbulu Aruka Sarakasi Bungeni – Global PublishersMbunge wa Mbulu Mkoani Manyara, Flatey Massay amesema hatapiga tena sarakasi bungeni kudai kujengewa barabara kwani Serikali imeshaanza ujenzi wa barabara ya lami jimboni kwake.

Amesema anaishukuru serikali ya awamu ya sita kuanza ujenzi wa barabara hiyo ina umuhimu mkubwa tangu Mbulu ianzishwe mwaka 1905.

“Jumatatu ijayo mnatarajiwa kusoma bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi jijini Dodoma bungeni kwa mwaka 2023/2024 hivyo sitapiga sarakasi zaidi ya kusema asanteni,” amesema Massay.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (Tanrodos), Mhandisi Rogatus Mativila amesema kipande cha kilomita 25 kutoka Labbay hadi Haydom kitagharimu Tsh billioni 42.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amesema Manyara ina changamoto za barabara za lami kuunganisha wilaya zake.

Massay akiwa bungeni Mei 23 mwaka 2022 alipiga sarakasi akidai kuwa barabara hiyo haijengwi ili hali kila mwaka anaisemea na haitengewi fedha za ujenzi.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: BUNGE LA TANZANIABUNGENIMANYARAMASSAYMBULUWizara ya ujenzi na uchukuzi
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 2, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 2, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 2, 2023
Udhamini wa NMB mikutano ya ALAT wafikia 1.2bn/-
HABARI

Udhamini wa NMB mikutano ya ALAT wafikia 1.2bn/-

by I am Krantz
Jun 2, 2023
SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF
HABARI

SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
RAIS DK. MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI ZANZIBAR
HABARI

RAIS DK. MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI ZANZIBAR

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME
HABARI

WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
JINSI YA KUSAJILI BIASHARA YAKO
HABARI

JINSI YA KUSAJILI BIASHARA YAKO

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In