ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, June 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MPINZANI WA TRUMP KUANZA KAMPENI KUPITIA TWITTER

Marekani

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 24, 2023
in HABARI
0
MPINZANI WA TRUMP KUANZA KAMPENI KUPITIA TWITTER
0
SHARES
26
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Ron DeSantis to announce bid for US presidency on Twitter with Elon MuskGavana wa jimbo la Florida nchini Marekani Ron Desantis aanza kampeni zake za kugombania Urais wa nchi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa 2024 kupitia mtandao wa Twitter.

Desantis amepewa nafasi ya kufanya hivyo na mmiliki wa mtandao huo, Elon Musk ambaye naye atakuwepo katika tukio hilo leo Jumatano.

RelatedPosts

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

May 31, 2023

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

May 30, 2023

WHATSAPP KURUHUSU WATUMIAJI KUHARIRI UJUMBE NDANI YA DAKIKA 15

May 23, 2023
Load More

Desantis , mwenye miaka 44 ni mpinzani wa Rais wa zamani Donald Trump katika kinyang’anyilo cha kuwania  nafasi hiyo kupitia chama cha The Republican.

Kujitokeza kwake Gavana huyo kutazima uvumi kuhusu gavana huyo kuwa na nia ya kugombea au la.

ADVERTISEMENT

Tayari Trump ameonesha kuwa anayo nia ya kugombania tena nafasi hiyo licha ya kuandamwa na kashfa za ubakaji ambazo amedai zipo kisiasa kwa nia ya kumchafua.

Aidha, Trump mpakahadi wakati huu anaongoza kwa kura za maoni katika chama chake juu ya mchakato wa kumtafuta nani atapambana na Rais wa sasa Joe Biden kutoka chama cha Democrat katika uchaguzi huo utakaofanyika mwezi Novemba mwakani.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: campaignDonald Trumpkampeni za urais marekaniMAREKANI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA
HABARI

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA
HABARI

MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
KUNANI MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 22 JUNI
HABARI

KURASA ZA MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 05 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 5, 2023
UJUE MPANGO MPYA WA VITUO VYA KUCHAJI MAGARI YA UMEME NCHINI
HABARI

UJUE MPANGO MPYA WA VITUO VYA KUCHAJI MAGARI YA UMEME NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023
Rais Samia Apunguza Tozo Ya Mafuta
HABARI

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu

by I am Krantz
Jun 4, 2023
166 New Job Vacancies at TANAPA
HABARI

166 New Job Vacancies at TANAPA

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In