ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, June 10, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

NAPE ASAKA SULUHU CHANGAMOTO YA UTAPELI MTANDAONI

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 19, 2023
in HABARI
0
NAPE ASAKA SULUHU CHANGAMOTO YA UTAPELI MTANDAONI
0
SHARES
42
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

ImageWAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameita Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) kutafuta ufumbuzi wa kudumu juu ya ongezeka la utapeli wa mtandaoni. Akizungumza jijini Dodoma leo, Mei 19, 2023 wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2023/24, Nape amesema tatizo la utapeli kwenye mitandao ya simu za mkononi bado ni kubwa nchini.

Pia ameitaka TCRA kutafuta namna ya kuzuia jumbe fupi zinazotumwa bila idhini au matakwa ya mteja. Nape aliwasilisha maoni na ushari wa wadau kuhusu uboreshwaji wa taasisi ambapo miongoni mwa maoni hayo ni kuitaka wizara ishirikiane na makampuni ya mitandao ya simu pamoja na Jeshi la Polisi ili kumaliza tatizo la utapeli wa kimtandao ikiwamo kufungia namba za matapeli.Image

RelatedPosts

AZAM TV YAZINDUA FILAMU YA KISAYANSI ” EONII “

AZAM TV YAZINDUA FILAMU YA KISAYANSI ” EONII “

May 29, 2023

ZAIDI YA WANAFUNZI 50 WAFUKUZWA CHUO KISA KUDUKUA MFUMO WA MALIPO YA ADA

May 25, 2023

WHATSAPP KURUHUSU WATUMIAJI KUHARIRI UJUMBE NDANI YA DAKIKA 15

May 23, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Related

Tags: NAPE NNAUYEUTAPELIUTAPELI MTANDAONIWIZARA YA HABARI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MMILIKI WA PRECISION AIR
HABARI

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MMILIKI WA PRECISION AIR

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
BREAKING; MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA
HABARI

BREAKING; MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 10, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 10, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga
HABARI

Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga

by I am Krantz
Jun 10, 2023
Relationship Manager; Mass Affluent (Acquisition) Job Vacancy at NMB Bank PLC
HABARI

Relationship Manager; Mass Affluent (Acquisition) Job Vacancy at NMB Bank PLC

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023
Application Support Specialist Job Vacancy at NBC
HABARI

Application Support Specialist Job Vacancy at NBC

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In