ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

POLISI WAANZA MSAKO MKALI WA VIBAKA

Mwanza

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 4, 2023
in HABARI
0
POLISI WAANZA MSAKO MKALI WA VIBAKA
0
SHARES
63
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Jeshi la polisi mkoani Mwanza limetangaza doria maalum ya kuwakamata na kuwaondoa katikati ya jiji hilo pamoja na kwenye vituo vya daladala vibaka wote wanaopora simu pamoja na wanaoshirikiana nao kuflash simu wanazoiba ili kuhakikisha wakazi wa jiji hilo wanaishi kwa amani

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Wilbroad Mutafungwa ametembelea katika mitaa ya Rwagasore, Sahara na Natta iliyopo katikati ya jiji hilo na ambayo inatajwa kuwa na vibaka hao wanaopora watu simu na hela na kuwapa salamu kwa kutaka waache mara moja vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa

RelatedPosts

TCD YATOA MAFUNZO KWA VIJANA KUHUSU VYAMA VYA SIASA

TUHUMA ZA MWALIMU KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI

Aug 2, 2023

WEZI WA MTANDAONI WAKAMATWA TANGA

Jul 21, 2023

NBC Benki yawapa Fursa Wakazi wa Mwanza Kulishuhudia Kombe la Ligi kuu ya NBC

Jul 17, 2023
Load More

“Sasa nimetembea mimi mwenyewe makusudi kwa miguu na napeleka ujumbe bahati nzuri nipo na maafisa hapa wanaosimamia askari kwa ajili ya doria na askari wapo kwamba wafanye doria ya kutosha za kuhakikisha kwamba wahalifu wote wanaojihusisha na wizi wa simu wanakamatwa na wanashughulikiwa kwa nguvu zote kwa hiyo kuanzia leo natangaza kazi maalum ya kuhakikisha eneo hili linakuwa salama kiasi kwamba hata mtu akisahau simu yake hapa chini anaikuta natoa amelekezo ifanyike doria kali, ifanyike Misako mikali kero ya wizi was imu iishe eneo hili”

Kwa upande wake mmoja wa wakazi wa jiji la Mwanza amepongeza hatua hiyo ya jeshi la polisi na kusema waliwahi kuwaripoti polisi vijana ambao walikuwa wanaishi chini ya karavati na kujihusisha na vitendo vya wizi

“kulikuwa na karavati kulikuwa na watu wametengeneza kama makazi lakini kwa kushirikiana na jeshi la polisi kituo cha pamba tulitoa taarifa lilikuja difenda likawachukua wote na mpaka sasa tunaishi salama kabisa”

Katika hatua nyingine kamanda Mutafungwa amesema wameyakamata magari Matano ya kubeba abiria ambayo madereva na makondakta wake wamekuwa wakiyatumia kwa ajili ya uhalifu huku wakitumia majina ya manuari pindi wanapotenda uhalifu huo

Related

Tags: Jeshi la PolisiMWANZAVIBAKAwizara ya mambo ya ndani
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In