ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, June 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

RAIS SAMIA AUNGANA NA KENYA, UGANDA KUWA WENYEJI WA MICHUANO AFCON 2027

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 24, 2023
in MICHEZO
0
RAIS SAMIA AUNGANA NA KENYA, UGANDA KUWA WENYEJI WA MICHUANO AFCON 2027
0
SHARES
31
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Arusha | MwananchiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (African Cup of Nations) 2027. 

Rais Samia amesema nchi hizo zinawania nafasi hiyo kwa kutambua mafanikio makubwa ambayo Sekta ya Michezo imepata, hivyo kuwa wenyeji wa AFCON 2027 kutaongeza hamasa zaidi kwa ukuaji wa michezo hususan soka. 

RelatedPosts

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

Jun 5, 2023

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993

Jun 5, 2023

GHETTO KIDS YA UGANDA YATINGA FAINALI “BRITAIN’S GOT TALENT” 2023

Jun 2, 2023
Load More

Aidha, Rais Samia amesema michuano hii itachangia katika ukuaji wa utalii kwa kuwa ni mashindano ambayo hutazamwa na zaidi ya watu bilioni moja Barani Afrika na maeneo mengi duniani kwa ujumla. 

Vile vile, Rais Samia amesema mashindano hayo yataleta watu mashuhuri nchini wenye ushawishi duniani hivyo huwezesha na kunufaisha sekta nyingi za uchumi ambapo huchangia ajira, mapato kwa wafanyabiashara na serikali.  

Kwa upande mwingine Rais Samia amesema Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, imeshafanya utafiti na kuandaa mpango mkakati wa utekelezaji wa maandalizi ya kuwa mwenyeji wa mashindano hayo. 

Mashindano ya AFCON yataweka rekodi kwa mara ya kwanza kufanyika katika Ukanda wa Afrika Mashariki tangu yalipoanzishwa rasmi mwaka 1957. 

Zuhura Yunus 

ADVERTISEMENT

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu 

ADVERTISEMENT

Image

Related

Tags: AFCONAFCON 2027CAFFIFAKenyaRais SamiaTAIFA STARSTANZANIATFFUGANDAWIZARA YA MICHEZO
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993
MICHEZO

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
DIAMOND AWEKA KUFURU HII KWA DJIGUI DIARRA
MICHEZO

DIAMOND AWEKA KUFURU HII KWA DJIGUI DIARRA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
KUNANI MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 22 JUNI
HABARI

KURASA ZA MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 05 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 5, 2023
Rais Samia Apunguza Tozo Ya Mafuta
HABARI

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu

by I am Krantz
Jun 4, 2023
KARIM BENZEMA KUONDOKA RASMI MADRID BAADA YA KUICHEZEA KWA MISIMU 14, BERNABEU
MICHEZO

KARIM BENZEMA KUONDOKA RASMI MADRID BAADA YA KUICHEZEA KWA MISIMU 14, BERNABEU

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023
MANULA AFANYIWA UPASUAJI, NJE MIEZI MINNE ZAIDI, KUREJEA NCHINI JUMAPILI
MICHEZO

MANULA AFANYIWA UPASUAJI, NJE MIEZI MINNE ZAIDI, KUREJEA NCHINI JUMAPILI

by ALFRED MTEWELE
Jun 3, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In