ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, June 10, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

RAIS WA DRC AMETANGAZA TAREHE 8 MEI KUWA SIKU YA MOMBOLEZO KITAIFA

Democratic Republic of Congo

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 8, 2023
in HABARI
0
RAIS WA DRC AMETANGAZA TAREHE 8 MEI KUWA SIKU YA MOMBOLEZO KITAIFA
0
SHARES
42
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Rais Felix Tshisekedi Jumatatu alitangaza kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa na timu ya mawaziri inatazamiwa kusafiri hadi eneo hilo kuratibu misaada ya kibinadamu na usimamizi wa majanga, msemaji wa serikali Patrick Muyaya alisema.

Msimu wa sasa wa mvua, kawaida kwa eneo la Kivu Kusini, unatarajiwa kudumu hadi mwisho wa Mei.

RelatedPosts

WAZIRI WA ELIMU AMPA UJAUZITO NAIBU WAKE ADAI AJALI KAZINI

WAZIRI WA ELIMU AMPA UJAUZITO NAIBU WAKE ADAI AJALI KAZINI

May 20, 2023

IDADI YA WALIOFARIKI KWA MAFURIKO DRC SASA NI ZAIDI YA 400

May 8, 2023

MAPOROMOKO YA ARDHI YAUA TAKRIBANI WATU 19, DRC

Apr 3, 2023
Load More

Watu wengi wameripotiwa kupotea baada ya mvua kusababisha mito kufurika tarehe 4 Mei, katika mkoa wa Kalehe huku shughuli za uokoaji zikiendelea

Kufikia sasa miili 400 imeopolewa kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyokumba vijiji viwili mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wiki iliyopita.

Mamlaka hapo awali ilisema watu 200 walikufa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha siku ya Alhamisi

Katika vijiji kadhaa vilivyo karibu na ufuo wa Ziwa Kivu, watu wamekuwa wakichimba tope kwa mikono katika harakati za kuwatafuta jamaa waliopotea.

Wafanyakazi wa kujitolea wa Msalaba Mwekundu wa Congo hawana mifuko ya kuhifadhi miili.

Wanalazimika kuirundika miili iliyofunikwa kwa blanketi katika vijiji vya Bushushu na Nyamukubi katika jimbo la Kivu Kusini.

Maafa hayo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yalikuja siku mbili baada ya mafuriko kuua takriban watu 131 na kuharibu maelfu ya nyumba katika nchi jirani ya Rwanda, ambayo iko ng’ambo ya Ziwa Kivu.

Ni siku tatu sasa tangu mafuriko yalipotokea na idadi ya waliofariki inaendelea kuongezeka, sasa imefikia 394.

Mama mmoja aliyefadhaika huko Nyamukubi alisema mumewe alikuwa amenusurika na alikuwa amelazwa hospitalini lakini watoto wake wote hawajulikani walipo.

ADVERTISEMENT

“Ni kama mwisho wa dunia,” Gentille Ndagijimana mwenye umri wa miaka 27, ambaye pia alipoteza wazazi wake na dada zake wawili, aliliambia shirika la habari la AFP.

Katika kijiji cha Bushushu baadhi ya majengo ambayo bado yamesimama nusu yamezikwa kwenye tope.

ADVERTISEMENT

Wiki iliyopita nchi jirani ya Rwanda pia ilikumbwa na mafuriko baada ya Ziwa Kivu kuvunja kingo zake na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 130.

Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema mafuriko hayo ni kielelezo kingine cha kuongeza kwa kasi ya mabadiliko ya hali ya hewa.

Related

Tags: 8 MEI SIKU YA MAOMBOLEZODRC
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MMILIKI WA PRECISION AIR
HABARI

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MMILIKI WA PRECISION AIR

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
BREAKING; MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA
HABARI

BREAKING; MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 10, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 10, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga
HABARI

Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga

by I am Krantz
Jun 10, 2023
Relationship Manager; Mass Affluent (Acquisition) Job Vacancy at NMB Bank PLC
HABARI

Relationship Manager; Mass Affluent (Acquisition) Job Vacancy at NMB Bank PLC

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023
Application Support Specialist Job Vacancy at NBC
HABARI

Application Support Specialist Job Vacancy at NBC

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In