ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, June 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

Morogoro

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 26, 2023
in HABARI
0
RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima akiwa katika Ziara ya Kiofisi Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga mkoani humo.

0
SHARES
53
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

Jun 5, 2023

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993

Jun 5, 2023

AJALI YA TRENI YAUA WATU ZAIDI YA 280 NCHINI INDIA

Jun 4, 2023
Load More
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amesema endapo changamoto ya miundombinu ya Barabara na umeme katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga itapatiwa ufumbuzi wa kudumu itasadia milango na kuongeza wawekezaji ndani ya Halmashauri hiyo na kuanza kuongeza mapato.

RC Malima ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri hiyo ambapo amesema kukosekana kwa miundombinu madhubuti ndani ya Halmashauri hiyo kunadhoofisha ukuaji wa kiuchumi.

Amesema suala la Barabara na Umeme ni muhimu kutokana na wilaya hiyo kuwepo na madini ya aina nyingi jambo ambalo wawekezaji wamekua wakiwasili kila siku hivyo uwepo wa miundombinu hiyo inaongeza hamasa kwa wageni kuja kuwekeza.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dokta Julius Ningu amesema licha ya uwepo wa madini katika wilaya hiyo shughuli za kilimo na ufugaji nao umekua unachangia kwa kiasi kiubwa ukusanyaji wa mapato.

Ningu anasema kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 wamejiwekea lengo la kukusanya mapato BIL.2.7 lakini hadi sasa wameshakusanya Bil. 2.1

Pamoja na hayo DC Ningu amesema changamoto kubwa ya wilaya hiyo ni Migogoro ya Wakulima na Wafugaji ambapo kwa sasa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kutatua kero hiyo ikiwemo mikutano ya hadhara na kuongea na wafugaji na wakulima kuwaemisha umuhimu wa jamii hizo katika nchi.

 

 

Related

Tags: HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGAIKULU MAWASILIANOMKOA WA MOROGOROMorogoro.TanzaniaRais SamiaRC MALIMATANROADSTARURAUCHUMIULANGAWizara ya ujenzi na uchukuzi
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA
HABARI

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA
HABARI

MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
KUNANI MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 22 JUNI
HABARI

KURASA ZA MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 05 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 5, 2023
UJUE MPANGO MPYA WA VITUO VYA KUCHAJI MAGARI YA UMEME NCHINI
HABARI

UJUE MPANGO MPYA WA VITUO VYA KUCHAJI MAGARI YA UMEME NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023
Rais Samia Apunguza Tozo Ya Mafuta
HABARI

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu

by I am Krantz
Jun 4, 2023
166 New Job Vacancies at TANAPA
HABARI

166 New Job Vacancies at TANAPA

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In