ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, December 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUJIBU HOJA ZA CAG; -KAIRUKI

Dodoma

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 23, 2023
in HABARI
0
SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUJIBU HOJA ZA CAG; -KAIRUKI
0
SHARES
85
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Inaweza kuwa picha ya Watu 11, watu wanaosoma na maandishiWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Angellah Kairuki amewaagiza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanasimamia Mamlaka za Serikali za Mitaa katika ukusanyaji wa mapato ili kuweza kufikia malengo yaliyopangwa.
Mhe. Kairuki ameyasema hayo leo katika kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa ambapo wamejadili utekelezaji wa hoja za ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Amesema kuwa mwaka wa fedha 2022/2023 unatarajia kuisha ifikapo Juni 30, 2023 hivyo ni wajibu wa wakuu wa mikoa kuhakikisha wanasimamia kwa karibu ukusanyaji wa mapato kwenye halmashauri zao.
Mhe. Kairuki pia amewataka wakuu wa mikoa kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ili fedha zinazotolewa ziendane na thamani ya fedha inayotolewa na Serikali.
Pia amewataka kuzisimamia na kuhakikisha halmashauri zinajibu hoja za ukaguzi zilizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na maagizo ya Kamati za Kudumu Za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC).
Vile vile ameelekeza kushughulikia kero za wananchi ili kupunguza malalamiko pamoja na kujua hoja zilizotolewa kama zimeweza kutatuliwa kwa wakati.
ADVERTISEMENT

Related

Tags: KAIRUKIOFISI YA RAIS TAMISEMIRIPOTI YA CAG
ADVERTISEMENT
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

Tuliishi maisha ya shida sana kisa uchawi wa jirani!
HABARI

Tuliishi maisha ya shida sana kisa uchawi wa jirani!

by I am Krantz
Nov 30, 2023
EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga
HABARI

EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga

by I am Krantz
Nov 29, 2023
MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.
HABARI

MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.

by I am Krantz
Nov 29, 2023
NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia
HABARI

NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia

by I am Krantz
Nov 27, 2023
Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania
HABARI

Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania

by I am Krantz
Nov 27, 2023
NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿
HABARI

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿

by I am Krantz
Nov 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TWEETS

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In