Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Joseph Mabula Mratibu wa Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) unaoratibiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya wiki ya maziwa yanayofanyika mkoani Tabora. TADB kwa kushirikiana na wadau wengine wanatekeleza mradi wa T13P unaolenga kuwanufaisha wafugaji wadogo 100,000 wa ng’ombe wa maziwa pamoja na wachakataji.Afisa Biashara wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania Bw. Patrick Kapungu (wa pili kulia) akizungumza namteja aliyetembelea banda la TADB katika maonesho ya wiki ya maziwa yanayofanyika kitaifa mkoani Tabora. TADB kwa kushiriana na wadau mbali mbali inatekeleza Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) utakaowanufaisha wafugaji wadogo 100,000 wa ng’ombe wa maziwa pamoja na wachakataji maziwa.
Kaimu meneja wa kanda ya Mgharibi Benki ya Maendeleo Tanzania (TADB) Furaha Sichula (kulia) akiteta jambo na Mark Tsoxo Mkuu wa Programu wa shirika la Heifer International wakati wa maonesho ya wiki ya maziwa yanayofanyika mkoani Tabora. TADB, Heifer International na Land’O Lakes wanashirikiana kutekeleza a Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) unaolenga kunufaishawafugaji wadogo 100,000 wa ng’ombe wa maziwa pamoja na wachakataji wa maziwa
👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT
👉Serial & Self-made Entrepreneur
👉Digital media consultant
👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger
👉Startuper of the year 2016 by TOTAL
👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017
👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network
👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021
👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation
👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿
‘
😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊