ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

TANZANIA IKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA CANADA ILI INUFAIKE NA MADINI

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 8, 2023
in HABARI
0
TANZANIA IKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA CANADA ILI INUFAIKE NA MADINI
0
SHARES
46
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ImageSerikali ya Tanzania na Canada zimepanga kushirikiana kwenye maeneo mbalimbali yakihusisha shughuli za utafiti wa madini, kujenga uwezo wa wataalamu na kushirikiana katika kuhamasisha shughuli za uwekezaji nchini ili kuvutia wawekezaji katika Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Balozi wa Canada nchini Tanzania Kyle Nunas leo Mei 8, 2023 jijini Dar es Salaam alipokutana na kuzungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali na Wataalamu kutoka Wizara ya Madini na taasisi katika kikao kilicholenga kuzungumzia shughuli za kuendeleza uchimbaji wa madini.Image“Ushirikiano wa Tanzania na Canada katika sekta ya madini utaongeza tija kwenye uchumi, kuongeza ajira, kuwajengea uwezo watumishi ili kuwezesha watanzania kuzalisha madini kwa wingi ikiwemo bidhaa zinazotokana na madini hayo” Kheri Mahimbali, Katibu Mkuu Wizara ya Madini

“Tunaomba tuweze kuwa na ushirikiano na Canada katika kutangaza shughuli za uchimbaji madini zinazofanyika hapa nchini, tuendelee kukutana na kuzungumza mara kwa mara ili mchango wa sekta ya madini ukue katika uchumi wetu” Kheri Mahimbali, Katibu Mkuu Wizara ya Madini

RelatedPosts

SEKTA YA MADINI KUWAVUTA WATALII NCHINI KUELEKEA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI 2023

SEKTA YA MADINI KUWAVUTA WATALII NCHINI KUELEKEA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI 2023

May 24, 2023

WIZARA KUANZISHA MINADA NA MAONESHO MADINI YA VITO

May 2, 2023

WAZIRI BITEKO AJA NA BAJETI HII NZITO BUNGENI

Apr 27, 2023
Load More

“Tanzania iko tayari kushirikiana na Cananda kuhakikisha Taifa linanufaika na rasilimali madini ikiwemo madini ya kimkakati ili kukuza uchumi” Kheri Mahimbali, Katibu Mkuu Wizara ya MadiniImage

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA MADINI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

HABARI

Meeting Ladies In Your 30s

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF
HABARI

SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
RAIS DK. MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI ZANZIBAR
HABARI

RAIS DK. MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI ZANZIBAR

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME
HABARI

WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
JINSI YA KUSAJILI BIASHARA YAKO
HABARI

JINSI YA KUSAJILI BIASHARA YAKO

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
Customer Service Officer Job Vacancies at TADB
HABARI

Customer Service Officer Job Vacancies at TADB

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In