ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

Dodoma

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 30, 2023
in HABARI
0
TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024
0
SHARES
104
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

WARATIBU WA MIRADI YA UMEME VIJIJINI MKATENDE HAKI KWA WANANACHI NA KUTOIANGUSHA SERIKALI - WAZIRI MAKAMBA - MTAA KWA MTAA BLOGWaziri wa Nishati, January Makamba amesema kutokana na mipango mkakati ya Serikali, ifikapo mwezi Juni mwaka 2024 vijiji vyote nchini Tanzania vitakuwa na umeme.

Makamba amesema Serikali ina mipango inayozingatia utabiri wa hali itakavyokuwa mbeleni, lakini pia inaishirikisha zaidi sekta binafsi katika kuwekeza kwenye sekta ya nishati ili kuweza kufikia malengo kwa wakati.

RelatedPosts

HII HAPA SABABU YA BEI ZA MAFUTA KUPANDA TENA GHAFLA

HII HAPA SABABU YA BEI ZA MAFUTA KUPANDA TENA GHAFLA

Aug 2, 2023

WAZIRI AWESO AZINDUA MRADI WA MAJI KALIUA, TABORA

Aug 1, 2023

ZAIDI YA BIL. 31 KUTUMIKA KUKARABATI UWANJA WA MKAPA

Jul 28, 2023
Load More

“Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere tulibadilisha ratiba, sasa hivi kazi inafanyika usiku na mchana, siku za wikiendi na sikukuu, zamani ilikua ikifika saa 12 jioni watu wamefunga, hio ndio siri ya mradi kukimbia kwenye ujenzi wake,” amesema Makamba.

Wizara ya Nishati, inatarajia kuwasilisha makadirio ya bajeti yake ya mwaka wa fedha 2023/2024 bungeni Dodoma kuanzia siku ya Jumatano May 31 2023.

Related

Tags: IKULU MAWASILIANOMAKAMBARais SamiaUMEME NCHI NZIMAWIZARA YA NISHATI
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In