ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, December 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

UCHUNGUZI TAYARI TAA KUZIMA TAIFA

Dar es Salaam

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
May 7, 2023
in MICHEZO
0
UCHUNGUZI TAYARI TAA KUZIMA TAIFA
0
SHARES
62
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
VIDEO - Mbunge ahoji kuzima taa kwa Mkapa | Mwanaspoti
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana jana Mei 06, 2023 akiwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, amepokea taarifa ya Kamati aliyoiunda kuchunguza tukio la kukatika umeme katika uwanja huo wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati Timu ya Yanga na Rivers United ya Nigeria.
Baada ya kupokea taarifa hiyo, Waziri Dkt. Chana amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Said Yakubu kufanyia kazi taarifa hiyo ikiwemo kuchukua hatua zinazostahili kulingana na taarifa hiyo ambapo tukio hilo la kupokea taarifa limehudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa.
Kamati hiyo imeongozwa na Mwenyekiti Mhandisi Keneth Boymanda kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ikiwa na Wajumbe kutoka Wakala wa
Majengo (TBA) na baadhi ya Watumishi wa Wizara.
ADVERTISEMENT

Related

Tags: UCHUNGUZI TAYARI TAA KUZIMIKA TAIFAWAZIRI PINDI CHANAWIZARA YA MICHEZO
ADVERTISEMENT
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

VODACOM YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA ‘SAMBAZA SHANGWE, GUSA MAISHA’ WASHINDI 26 WAIBUKA WASHINDI WA ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO MMOJA WA PESA TASLIMU SHILINGI MILIONI 10!
HABARI

VODACOM YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA ‘SAMBAZA SHANGWE, GUSA MAISHA’ WASHINDI 26 WAIBUKA WASHINDI WA ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO MMOJA WA PESA TASLIMU SHILINGI MILIONI 10!

by I am Krantz
Nov 15, 2023
IDENTY – KAMERA YA SIMU KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA UTAMBUZI NA UHAKIKI WA ALAMA ZA KIBIOMETRIKIA
HABARI

IDENTY – KAMERA YA SIMU KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA UTAMBUZI NA UHAKIKI WA ALAMA ZA KIBIOMETRIKIA

by I am Krantz
Nov 9, 2023
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA CAF IKULU YA DODOMA
HABARI

RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA CAF IKULU YA DODOMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 20, 2023
‘KILA MPINZANI ANATAKIWA KUIHESHIMU SIMBA’ KOCHA ROBERTINHO
HABARI

‘KILA MPINZANI ANATAKIWA KUIHESHIMU SIMBA’ KOCHA ROBERTINHO

by SUZO SHUKRANI
Oct 19, 2023
NEYMAR KUFANYIWA UPASUAJI WA GOTI
HABARI

NEYMAR KUFANYIWA UPASUAJI WA GOTI

by SUZO SHUKRANI
Oct 19, 2023
WATU WAWILI WAFARIKI KWENYE MECHI YA UBELGIJI DHIDI YA SWIDEN
HABARI

WATU WAWILI WAFARIKI KWENYE MECHI YA UBELGIJI DHIDI YA SWIDEN

by SUZO SHUKRANI
Oct 17, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TWEETS

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In