ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WAZIRI MKUU ATAKA MAHAKAMA IHESHIMIWE

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 11, 2023
in HABARI
0
WAZIRI MKUU ATAKA MAHAKAMA IHESHIMIWE
0
SHARES
19
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

DKT. JAFO: MALENGO YA KUPANDA MITI MILIONI 1.5 HALMASHAURI YAVUKA

DKT. JAFO: MALENGO YA KUPANDA MITI MILIONI 1.5 HALMASHAURI YAVUKA

May 23, 2023

WAZIRI MKUU AWAWEKA SAWA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUEPUKA MGOMO

May 17, 2023

WAZIRI MKUU ANATARAJIA KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA JUMATANO YA WIKI HII

May 15, 2023
Load More

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza mamlaka mbalimbali nchini kuheshimu hukumu halali zinatolewa mahakamani na iwapo kuna asiyekubaliana na mamuzi hayo, ni vema kukata rufaa na siyo kukahidi kutekeleza.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo Mei 11, 2023 bungeni katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo ambapo Mbunge wa Ushetu Emmanuel Cherehani (CCM), ametaka kujua kauli ya Serikali kuhusu Mamlaka za Hifadhi kushindwa kurudishia mifugo kwa wafugaji ambao wameshinda kesi.

Mbunge huyo alisema kumekuwa na kilio kikubwa kutoka kwa wafugaji ambao walishinda kesi zao na mahakamani ikaamuru warejeshewe mifugo yao lakini kumekuwa na ukimywa wa muda mrefu kwa mamlaka hizo kutekeleza maagizo hayo halali ya mahakama.

Awali akijibu swali hilo, Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa, anatambua kuwepo kwa migogoro mingi kati ya wakulima na wafugahji na wafugaji na maeneo ya hifadhi.

“Tunatambua kuwa kuna kesi nyingi ambazo wafugaji walipelekwa mahakamani lakini wengi walishinda kesi zao, hivi karibuni tulisikia wabunge wakilalamikia jambo hilo, nitumie nafasi hii kuomba amri za mahakamani ziwe na utekelezaji,” amesema Majaliwa.

Waziri Mkuu amesema kwa kuwa ni jambo la kisheria kwamba hakuna anayeweza kupinga amri ya mahakama kwa sababu ni hukumu, basi kama kuna maeneo ambayo yana amri hiyo, basi yatekeleze.

Kauli ya Waziri Mkuu imekuja kwasababu kumekuwa na kelele nyingi kutoka kwa wafugaji ambao mifugo yao ilikamatwa kwenye hifadhi na kupelekwa mahakamani lakini baadhi ya walioshinda kesi hawajarudishiwa mifugo yao.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: MAHAKAMAOFISI YA WAZIRI MKUU
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 2, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 2, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 2, 2023
Udhamini wa NMB mikutano ya ALAT wafikia 1.2bn/-
HABARI

Udhamini wa NMB mikutano ya ALAT wafikia 1.2bn/-

by I am Krantz
Jun 2, 2023
SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF
HABARI

SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
RAIS DK. MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI ZANZIBAR
HABARI

RAIS DK. MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI ZANZIBAR

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME
HABARI

WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
JINSI YA KUSAJILI BIASHARA YAKO
HABARI

JINSI YA KUSAJILI BIASHARA YAKO

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In